Lionel Messi wins the Golden Ball.
GOLDEN GLOVE – Manuel Neuer wins
FAIR PLAY AWARD: Colombia
POGBA MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
GOLDEN BOOT: James Rodriguez
Mario Gotze’s #Worldcupfinal winner...
KLABU ya Paris Saint-Germain ipo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kumpata winga wa Real Madrid, Angel Di Maria, ambaye pia anatakiwa na Manchester United.
Mshambuliaji huyo wa pembeni wa Argentina...
WINGA Arjen Robben amesema alimkatalia kocha wake wa timu ya taifa, Louis van Gaal wazo la kujiunga na klabu yake mlya, Manchester United.
Van Gaal ameipa Uholanzi nafasi ya tatu katika Kombe la Dunia...
LUIZ Felipe Scolari amesema hatajiuzulu katika nafasi yake ya ukocha wa timu ya taifa ya Brazil, licha ya timu yake kufungwa mara ya pili mfululizo ndani ya siku tano.
Brazil walifungwa mabao 7-1...
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amesema anataka kuwa na furaha na hakuna kitakachomfurahisha zaidi ya kuona kikosi chake kinashinda.
Loga raia wa Croatia amesema anataka kuwa na maandalizi...
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
0712461976
MAKAMU wa Rais wa Simba sc, Geofrey Nyange `Kaburu` ni miongoni mwa watu wenye mtazamo sahihi katika soka la vijana nchini Tanzania.
Inawezekana ana mapungufu...
Timu ya Taifa (Taifa Stars) imevurumishwa mabao 4-2 katika mechi ya kirafiki na Botswana jana.Mechi hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Gaborone ni sehemu ya maandalizi ya Taifa Stars kwa...
Anaondoka? Liverpool na Barcelona wanatarajia kuanza mazungumzo juu ya kuuziana Luis Suarez.
KLABU za Liverpool na Barcelona zinatarajia kuanza kufanya mazungumzo juu ya bei ya awali ya paundi milioni...