TAIFA STARS YAITUNISHIA MISULI ZIMBABWE

No Comments

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimetoka sare ya bao 2-2 na timu ya Taifa ya Zimbabwe kwenye mchezo ulipigwa Uwanja wa Taifa jijini Harare.
Mechi hiyo ilikuwa ya marudiano ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco.
Mabao ya Stars yamefungwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' dakika ya 21 huku la pili likifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 46. Mabao ya wenyeji Zimbabwe yamewekwa kimiani na Phiri dakika ya 10 wakati lingine likifungwa na Katsande dakika ya 55. Kwa matokeo hayo, Stars imesonga mbele.
GPL

Dear readers, after reading the Content please ask for advice and to provide constructive feedback Please Write Relevant Comment with Polite Language.Your comments inspired me to continue blogging. Your opinion much more valuable to me. Thank you.