WAMBURA HANA CHAKE SIMBA ATEMWA KUWANIA UONGOZI

No Comments
#HABARI SIMBA YAMTEMA WAMBURA!

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais katika timu ya SIMBA, Michael Wambura ameondolewa katika mbio za kuwania urais ndani ya klabu ya hiyo kutokana na uanachama wake kuwa na mashaka.

Akitoa taarifa ya mapingamizi dhidi ya wagombea mbalimbali, mwenyekiti wa kamati hiyo Dr Damas Daniel Ndumbalo, amesema Wambura ndiye mgombea pekee aliyetemwa katika mbio hizo na sababu kubwa ni suala la uanachama wake kuwa na mashaka, kwa kuwa amewahi kuvuliwa uanachama, lakini hakuna kikao chochote kilichowahi kumrudishia uanachama wake.

Dear readers, after reading the Content please ask for advice and to provide constructive feedback Please Write Relevant Comment with Polite Language.Your comments inspired me to continue blogging. Your opinion much more valuable to me. Thank you.